2 Nya. 29:19 SUV

19 Tena vyombo vyote alivyovitupa mfalme Ahazi alipotawala, hapo alipoasi, tumevitengeza na kuvitakasa; navyo, tazama, vipo mbele ya madhabahu ya BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:19 katika mazingira