2 Nya. 29:21 SUV

21 Wakaleta ng’ombe waume saba, na kondoo waume saba, na wana-kondoo saba, na mabeberu saba, kuwa sadaka ya dhambi kwa ajili ya ufalme, na kwa ajili ya patakatifu, na kwa ajili ya Yuda. Akaamuru makuhani, wana wa Haruni, wawatoe madhabahuni pa BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:21 katika mazingira