2 Nya. 29:22 SUV

22 Basi wakawachinja ng’ombe, na makuhani wakaipokea damu, wakainyunyiza madhabahuni; wakawachinja kondoo waume, na kuinyunyiza damu madhabahuni; wakawachinja na wana-kondoo, na kuinyunyiza damu madhabahuni.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:22 katika mazingira