2 Nya. 29:24 SUV

24 na makuhani wakawachinja, wakaitoa damu yao kuwa sadaka ya dhambi madhabahuni, ili kuwafanyia Israeli wote upatanisho; maana mfalme aliamuru Israeli wote wafanyiwe sadaka ya kuteketezwa na sadaka ya dhambi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 29

Mtazamo 2 Nya. 29:24 katika mazingira