2 Nya. 3:1 SUV

1 Ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, juu ya mlima Moria, pale BWANA alipomtokea Daudi babaye alipotengeza mahali pale alipoagiza Daudi, katika kiwanja cha kupuria cha Arauna Myebusi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 3

Mtazamo 2 Nya. 3:1 katika mazingira