2 Nya. 30:16 SUV

16 Wakasimama mahali pao kwa taratibu yao, sawasawa na torati ya Musa, mtu wa Mungu; nao makuhani wakainyunyiza damu, waliyoipokea mikononi mwa Walawi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 30

Mtazamo 2 Nya. 30:16 katika mazingira