2 Nya. 30:24 SUV

24 Maana Hezekia, mfalme wa Yuda, aliwatolea kusanyiko matoleo ya ng’ombe elfu, na kondoo elfu saba; na wakuu wakawatolea kusanyiko ng’ombe elfu, na kondoo elfu kumi; tena wakajitakasa makuhani wengi sana.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 30

Mtazamo 2 Nya. 30:24 katika mazingira