2 Nya. 30:25 SUV

25 Na kusanyiko lote la Yuda, pamoja na makuhani na Walawi, na kusanyiko lote waliotoka Israeli, na wageni waliotoka katika nchi ya Israeli, nao waliokaa Yuda, wakafurahi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 30

Mtazamo 2 Nya. 30:25 katika mazingira