2 Nya. 30:8 SUV

8 Msiwe sasa wenye shingo ngumu kama baba zenu; lakini mjitoe kwa BWANA, mkaingie katika patakatifu pake, alipopatakasa milele, mkamtumikie BWANA, Mungu wenu, hasira yake kali iwageukie mbali.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 30

Mtazamo 2 Nya. 30:8 katika mazingira