2 Nya. 30:9 SUV

9 Kwa kuwa mkimrudia BWANA, ndugu zenu na watoto wenu watahurumiwa machoni pa hao waliowachukua mateka, nao watairudia nchi hii; kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye mwenye neema, na mwenye rehema, wala hatawageuzia mbali uso wake, mkimrudia.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 30

Mtazamo 2 Nya. 30:9 katika mazingira