2 Nya. 31:18 SUV

18 na wale waliohesabiwa kwa nasaba ya wadogo wao wote, wake zao, na wana wao, na binti zao, katika kusanyiko lote; kwani kwa vile walivyoaminiwa, wakajitakasa katika utakatifu;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 31

Mtazamo 2 Nya. 31:18 katika mazingira