2 Nya. 31:19 SUV

19 tena kwa ajili ya wana wa Haruni makuhani, waliokuwamo mashambani mwa malisho ya miji yao, mji kwa mji, kulikuwa na watu waliotajwa majina yao, ili kuwagawia sehemu wanaume wote miongoni mwa makuhani, na wote waliohesabiwa kwa nasaba miongoni mwa Walawi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 31

Mtazamo 2 Nya. 31:19 katika mazingira