2 Nya. 31:21 SUV

21 Na katika kila kazi aliyoanza kwa utumishi wa nyumba ya Mungu, na kwa torati, na kwa amri, ili kumtafuta Mungu wake, aliifanya kwa moyo wake wote, akafanikiwa.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 31

Mtazamo 2 Nya. 31:21 katika mazingira