2 Nya. 31:3 SUV

3 Tena akaweka sehemu ya mfalme ya mali zake kwa sadaka za kuteketezwa, yaani, sadaka za kuteketezwa za asubuhi na jioni, na sadaka za kuteketezwa za sabato, na za mwezi mpya, na sikukuu, kama ilivyoandikwa katika torati ya BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 31

Mtazamo 2 Nya. 31:3 katika mazingira