2 Nya. 32:18 SUV

18 Wakawalilia kwa sauti kuu, kwa lugha ya Kiyahudi, watu wa Yerusalemu waliokuwako ukutani ili kuwaogofisha, na kuwafadhaisha; hata wapate kuutwaa mji.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:18 katika mazingira