2 Nya. 32:22 SUV

22 Ndivyo BWANA alivyomwokoa Hezekia, na wenyeji wa Yerusalemu, na mkono wa Senakeribu, mfalme wa Ashuru, na mikononi mwa wote, akawaongoza pande zote.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:22 katika mazingira