2 Nya. 32:23 SUV

23 Watu wengi walimletea BWANA zawadi huko Yerusalemu, na vitu vya thamani kwa Hezekia, mfalme wa Yuda; hata yeye akatukuka tangu wakati ule machoni pa mataifa yote.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:23 katika mazingira