2 Nya. 32:24 SUV

24 Katika siku hizo Hezekia akaugua akawa katika hatari ya kufa; akamwomba BWANA; naye akasema naye, akampa ishara.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:24 katika mazingira