2 Nya. 32:29 SUV

29 Tena akajifanyizia miji, na mali za kondoo na ng’ombe kwa wingi; maana Mungu alimtajirisha sana sana.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:29 katika mazingira