2 Nya. 32:30 SUV

30 Naye huyo Hezekia ndiye aliyezuia chemchemi ya juu ya maji ya Gihoni, akayaleta chini moja kwa moja upande wa magharibi wa mji wa Daudi. Akafanikiwa Hezekia katika kazi zake zote.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:30 katika mazingira