2 Nya. 32:32 SUV

32 Basi mambo yote ya Hezekia yaliyosalia, na matendo yake mema, tazama, yameandikwa katika maono ya Isaya nabii, mwana wa Amozi, katika kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:32 katika mazingira