2 Nya. 32:33 SUV

33 Hezekia akalala na babaze, wakamzika mahali pa kupandia makaburi ya wana wa Daudi; nao Yuda wote na wenyeji wa Yerusalemu wakamfanyia heshima alipokufa. Na Manase mwanawe akatawala mahali pake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:33 katika mazingira