2 Nya. 32:5 SUV

5 Akapiga moyo konde, akaujenga ukuta wote uliobomoka, akauinua sawa na minara, na ukuta wa pili nje, akaongeza nguvu ya Milo, katika mji wa Daudi, akafanya silaha na ngao tele.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:5 katika mazingira