2 Nya. 32:8 SUV

8 kwake upo mkono wa mwili; ila kwetu yupo BWANA, Mungu wetu, kutusaidia, na kutupigania mapigano yetu. Na watu wakayategemea maneno ya Hezekia, mfalme wa Yuda.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:8 katika mazingira