2 Nya. 32:9 SUV

9 Na baada ya hayo Senakeribu mfalme wa Ashuru, akatuma watumishi wake waende Yerusalemu, (naye alikuwapo mbele ya Lakishi, na uwezo wake wote pamoja naye,) kwa Hezekia, mfalme wa Yuda, na kwa Yuda wote waliokuwako Yerusalemu, kusema,

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:9 katika mazingira