2 Nya. 33:13 SUV

13 Akamwomba; naye akamtakabali, akayasikia maombi yake; akamrudisha tena Yerusalemu katika ufalme wake. Ndipo Manase akajua ya kwamba BWANA ndiye Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:13 katika mazingira