2 Nya. 33:14 SUV

14 Hata baada ya hayo akaujengea mji wa Daudi ukuta wa nje, upande wa magharibi wa Gihoni, bondeni, hata kufika maingilio ya lango la samaki; akauzungusha Ofeli, akauinua juu sana; akaweka maakida mashujaa katika miji yote ya Yuda yenye maboma.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:14 katika mazingira