2 Nya. 33:15 SUV

15 Akaiondoa miungu migeni, na hiyo sanamu nyumbani mwa BWANA, na madhabahu zote alizozijenga katika mlima wa nyumba ya BWANA, na Yerusalemu, akazitupa nje ya mji.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:15 katika mazingira