2 Nya. 33:16 SUV

16 Akaijenga madhabahu ya BWANA, akatoa juu yake dhabihu za sadaka za amani, na za shukrani, akawaamuru Yuda wamtumikie BWANA, Mungu wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:16 katika mazingira