2 Nya. 33:18 SUV

18 Basi mambo yote ya Manase yaliyosalia, na maombi yake kwa Mungu wake, na maneno ya waonaji walionena naye kwa jina la BWANA, Mungu wa Israeli, tazama, yameandikwa kati ya mambo ya wafalme wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:18 katika mazingira