2 Nya. 33:19 SUV

19 Sala yake pia, na jinsi Mungu alivyomtakabali, na dhambi yake yote, na kosa lake, na mahali alipopajenga mahali pa juu, na kupasimamishia maashera na sanamu za kuchonga, kabla ya kujinyenyekeza; tazama, hayo yameandikwa katika tarehe ya Hozai.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:19 katika mazingira