2 Nya. 33:3 SUV

3 Kwa maana akapajenga tena mahali pa juu alipopabomoa Hezekia babaye; akazisimamisha madhabahu za mabaali, akafanya na sanamu za maashera, akaabudu jeshi lote la mbinguni, na kulitumikia.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:3 katika mazingira