2 Nya. 33:6 SUV

6 Tena akawapitisha wanawe motoni katika bonde la mwana wa Hinomu; akatazama bao, akabashiri, akafanya uganga, akajishughulisha na hao wenye pepo wa utambuzi, na wachawi; akafanya mabaya mengi machoni pa BWANA, hata kumkasirisha.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:6 katika mazingira