2 Nya. 33:7 SUV

7 Akaiweka sanamu ya kuchonga aliyoifanya, katika nyumba ya Mungu ambayo Mungu alimwambia Daudi, na Sulemani mwanawe, Katika nyumba hii, na katika Yerusalemu, niliouchagua miongoni mwa kabila zote za Israeli, nitaliweka jina langu milele;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:7 katika mazingira