2 Nya. 33:8 SUV

8 wala sitawaondoshea miguu tena Israeli katika nchi niliyowaagizia baba zenu; wakiangalia tu kutenda yote niliyowaamuru, yaani, torati yote, na sheria, na maagizo, niliyowaamuru kwa mkono wa Musa.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:8 katika mazingira