2 Nya. 33:9 SUV

9 Basi Manase akawakosesha Yuda na wenyeji wa Yerusalemu, hata wakazidi kufanya mabaya kuliko mataifa, aliowaharibu BWANA mbele ya wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:9 katika mazingira