2 Nya. 34:13 SUV

13 Tena walikuwa juu ya wachukuzi wa mizigo, wakawahimiza wote waliotenda kazi ya huduma yo yote; na miongoni mwa Walawi kulikuwa na waandishi, na wasimamizi, na mabawabu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:13 katika mazingira