2 Nya. 34:28 SUV

28 Tazama, nitakukusanya kwa baba zako, nawe utawekwa kaburini mwako kwa amani, wala macho yako hayataona mabaya yote nitakayoyaleta juu ya mahali hapa, na juu ya wakaao. Basi wakamrudishia mfalme habari.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:28 katika mazingira