2 Nya. 34:31 SUV

31 Akasimama mfalme mahali pake, akafanya agano mbele za BWANA, kumfuata BWANA, na kuzishika amri zake, na shuhuda zake, na sheria zake, kwa moyo wake wote, na kwa roho yake yote, kuyatenda maneno ya agano yaliyoandikwa kitabuni humo.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:31 katika mazingira