2 Nya. 34:32 SUV

32 Akawafanya wote walioonekana katika Yerusalemu na Benyamini walikubali. Na wenyeji wa Yerusalemu wakafanya sawasawa na agano la Mungu, Mungu wa baba zao.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:32 katika mazingira