2 Nya. 34:4 SUV

4 Wakazibomoa madhabahu za mabaali machoni pake; na sanamu za jua, zilizoinuliwa juu yake, akazikata-kata; na maashera, na sanamu za kuchonga, nazo za kusubu, akazivunja-vunja, akaziponda kuwa mavumbi, akayamimina juu ya makaburi ya hao waliozichinjia dhabihu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:4 katika mazingira