2 Nya. 34:7 SUV

7 Akazibomoa madhabahu, akaponda-ponda maashera na sanamu kuwa mavumbi, akazikata-kata sanamu zote za jua katika nchi yote ya Israeli, kisha akarejea Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:7 katika mazingira