2 Nya. 34:8 SUV

8 Hata katika mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake, alipokwisha kuisafisha nchi, na nyumba, akamtuma Shafani, mwana wa Azalia, na Maaseya, akida wa mji, na Yoa, mwana wa Yoahazi, mwandishi wa tarehe, waitengeneze nyumba ya BWANA, Mungu wake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:8 katika mazingira