2 Nya. 34:9 SUV

9 Wakamjia Hilkia kuhani mkuu, wakampa fedha, iliyoletwa nyumbani mwa Mungu, waliyoikusanya Walawi, wangoje mlango, mikononi mwa Manase na Efraimu, na mabaki yote ya Israeli, na Yuda yote na Benyamini, na wenyeji wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:9 katika mazingira