2 Nya. 35:24 SUV

24 Basi watumishi wake wakamtoa garini, wakamtia katika gari la pili alilokuwa nalo, wakamleta Yerusalemu; naye akafa, akazikwa makaburini mwa babaze. Wakamlilia Yosia Yuda wote na Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 35

Mtazamo 2 Nya. 35:24 katika mazingira