2 Nya. 35:25 SUV

25 Naye Yeremia akamlilia Yosia; na waimbaji wote waume kwa wake wakamtaja Yosia katika maombolezo yao, hata leo; hata wakayafanya kuwa ada kwa Israeli; nayo, tazama, yameandikwa katika maombolezo.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 35

Mtazamo 2 Nya. 35:25 katika mazingira