2 Nya. 35:9 SUV

9 Konania naye, na Shemaya, na Nethaneli, ndugu zake, na Hashabia, na Yeieli, na Yozabadi, wakuu wa Walawi, wakawapa Walawi, kuwa matoleo ya pasaka, wana-kondoo elfu tano, na ng’ombe mia tano.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 35

Mtazamo 2 Nya. 35:9 katika mazingira