2 Nya. 36:10 SUV

10 Mwaka ulipokwisha, Nebukadreza akatuma wajumbe, akamchukua mpaka Babeli; pamoja na vyombo vya thamani vya nyumba ya BWANA; akamtawaza Sedekia nduguye awe mfalme juu ya Yuda na Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 36

Mtazamo 2 Nya. 36:10 katika mazingira