2 Nya. 36:9 SUV

9 Yekonia alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miezi mitatu na siku kumi; akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 36

Mtazamo 2 Nya. 36:9 katika mazingira