2 Nya. 36:8 SUV

8 Basi mambo yote ya Yehoyakimu yaliyosalia, na machukizo yake aliyoyafanya, nayo yaliyoonekana kwake, tazama, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda; na Yekonia mwanawe akatawala mahali pake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 36

Mtazamo 2 Nya. 36:8 katika mazingira